Kumekucha na taarifa zinazozagaa Kwenye vyombo vya habari kuwa sababu kubwa ya yanga kutofanya vizuli kwenye Michuano ya kombe la shirikisho ni kwasababu wachezaji hawajalipwa mishahara ya kwa miezi miwili Kufuatia kauli hiyo katibu wa Yanga Baraka Deusdedit amekanusha taarifa hizo na kudai kuwa huwa wanawapa wachezaji wai mishahara kabula ya muda ili kuongeza motisha ya ushindi. Mompondazy.blogspot. com
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni