Jumapili, 28 Agosti 2016

YANGA KUANZA LIGI NA AFRICAN LYON LEO UWANJA WA TAIFA, DANTE NDANI, KIKOSI CHA YANGA HIKI HAPA

Kwa mara ya kwanza Yanga itakuwa ikikanyaga nyasi za Uwanja wa Taifa, leo Jumapili kukipiga dhidi ya African Lyon katika msimu wa 2016/17. Huu utakuwa mchezo wa kwanza kwa Yanga kwa kuwa ilikuwa bize na michuano ya kimataifa ambapo ilikuwa ikishiriki katika Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kushushwa hapo ikitokea michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Salehjembe itakuletea matukio yote kuanzia dakika ya kwanza mpaka mchezo utakapomalizika ‘LIVE’. Tayari kikosi cha Yanga kimejulikana kuelekea katika mchezo huo, nacho ni hiki hapa: 1. Deo Munishi ‘Dida’ 2. Hassan Kessy 3. Haji Mwinyi 4. Andrew Vincent ‘Dante’ 5. Vincent Bossou 6. Thaban Kamausoko 7. Simon Msuva 8. Haruna Niyonzima 9. Donald Ngoma 10. Amiss Tambwe 11. Deus Kaseke Sub Kakolanya, Oscar, Pato Ngonyani, Mahadhi, makapu, Mateo, Yusuph

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni