Mshindi wa Medali ya dhahabu katika kuogelea kwenye mita 200 Butterfly na shaba mita 400 medley katika michuano ya Olympics,Rio 2016 mwanadada Mhispania Mireia Belmonte akiwa Santiago Bernabeu kabla ya mechi kati ya Real Madrid na Celta Vigo kuonesha ushindi wake huo.
#Rio2016
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni