MAHUSIANO: Mke wangu ana tabia ya kununa, kutoongea na huninyima unyumba kwa muda mrefu hata mwezi mzima.
- Unakuta wanakuja wageni kila mtu anaongea na mgeni kivyake, tukiwa katika hali hii mimi huama chumba
Je, hizi ni dalili za kuchokana kwenye ndoa?
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni