#Burudani
Mwanamuziki Beyoncé ameondoka na ushindi mkubwa baada ya kushinda jumla ya tunzo nane ikiwemo video bora ya mwaka kupitia wimbo wake wa formation katika sherehe za utoaji tunzo za Mtv Awards mwaka 2016
Tunzo hizo pia zilitawaliwa na onesho la nguvu kutoka kwa mwanamuziki huyo kupitia wimbo wake wa Lemonade huku mwanamuziki Britney Spears akionesha ujio wake mpya jukwaani.
Nani mkali kati ya Beyonce na Britney Spears?
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni