MAHUSIANO: Wanawake wengi wana tabia ya kusimulia hadharani siri za ndani za ndoa zao hasa wakiwa kwenye saluni, maofisini na kwenye vibaraza
- Utasikia, "shosti mie mume wangu mlevi sana bwana hadi anakera akirudi yeye ni kukoroma tu, hata hakumbuki kalala na mwanamke, au nimechoka leo, maana shughuli niliyopewa na shemeji yenu hata sio ndogo"
Una maoni gani juu ya tabia hii ya wanawake wengi?
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni