MAHUSIANO: Mume wangu ana miezi miwili sasa halali nyumbani anarudi kila siku asubuhi kubadilisha nguo. Nimegundua amepata mchepuko ambaye ni Sekretari wake ofisini.
- Amefikia mpaka hatua ya kumtambulisha kwa watoto wangu. Nafikiria kuomba talaka
Tupe maoni yako juu ya wanaume kama hawa kwenye ndoa.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni