pata dondoo mbalimbali za michezo ya ndani na nje ya nchi.mompondazy itakujuza kila kitu.
Jumatatu, 29 Agosti 2016
TAZAMA PICHA TOFAUTI TOFAUTI ZA KUMBU KUMBU YA MATUKIO YA HARUSI MOMPONDAZY.BLOGSPORT.COM inawapongeza wanandoa hawa kwa kutimiza miaka kadhaa ya ndoa yao mungu awaongoze kwakila jambo awalinde pia naawape afya tale muweze kutimiza majukumu yenu yakila siku amina.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni