Alvaro Morata akikimbia kushangilia baada ya kuifungia Real Madrid bao la kuongoza dakika ya 60 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Celta Vigo leo kwenye mchezo wa La Liga Uwanja wa Bernabeu mjini Madrid. Bao la pili la Real lilifungwa na Toni Kroos dakika ya 81, baada ya Fabian Orellana kuisawazishia Celta Vigo dakika ya 67.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni