MAHUSIANO: Kuna mtazamo umejengeka kwenye jamii kuwa wanawake wazuri, wasomi na wenye kipato kizuri hawadumu kwenye ndoa au mahusiano.
- Hata kama wakidumu kunakuwa na migogoro mingi na mivutano
Je, huo mtazamo uliojengeka kwenye jamii una ukweli wowote?
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni