Jumatano, 31 Agosti 2016

MAHUSIANO: Katika jamii imezoeleka kuwa wanaume ndio wanaotongoza na ni nadra sana kukuta mwanamke anamtongoza mwanaume. - Wanaume hutongoza kwa sababu zipi? Je, Hujaribu, Tamaa, Upendo(Love), Hitaji la kupooza haja zake, Kuoa, Kuchuna au kutafuta wa kuzugia aonekane Una maoni gani?

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni