Jumanne, 30 Agosti 2016

Timu ya Al-Ittihad ya nchini Misri imevunja mkataba na mchezaji Samuel Nlend (raia wa Cameroon) baada ya kuthibitika kuwa ana UKIMWI - Mchezaji huyo alisaini mkataba wa miaka 3 kuitumikia timu hiyo tangu tarehe 24 Agosti

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni