Jumatano, 31 Agosti 2016

MUSTAFI RASMI ARSENAL Arsenal imekamilisha usajili wa beki wa kimataifa wa Ujerumani Shkodran Mustafi kwa zaidi ya pauni milioni 35. Mustafi, 24, alishinda Kombe la Dunia na timu ya taifa ya Ujerumani mwaka 2014.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni