Ijumaa, 26 Agosti 2016

Yanga kumbe ukuta! UNASEMA eti yule Mzee Akilimali kapindua kofia? Aaah...wapi! Muulize vizuri Mzungu atakwambia. Tatizo lililowavuruga Yanga kwenye mechi za kina TP Mazembe. Kumbe ni ukuta bwana. Pale nyuma ni tatizo. Baada ya msoto wa muda mrefu Yanga ilifanikiwa kufuzu kucheza hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika mwaka huu. Ilikuwa ni mara ya kwanza kwa Yanga kufuzu hatua hiyo baada ya kuwahi kufuzu pia hatua ya makundi ya Klabu Bingwa Afrika mwaka huu

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni