pata dondoo mbalimbali za michezo ya ndani na nje ya nchi.mompondazy itakujuza kila kitu.
Jumapili, 28 Agosti 2016
YANGA YAANZA LIGI KWA USHINDI MNONO, YAICHAPA AFRICAN LYON BAO 3-0 LEO
PICHA: Mshambuliaji wa Timu ya Yanga, Simon Msuva, akiipatia timu yake bao la pili dhidi ya Timu ya African Lyon, katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara, uliopigwa jioni ya leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam. Yanga imeanza ligi hiyo kwa ushindi mnono wa Mabao 3-0.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni