Ijumaa, 26 Agosti 2016

Mechi ya Kwanza ya Saa Moja Jioni Msimu huu itawashuhudia AZAM FC wakitumia vifaa vyao vipya kuwakabili Majimaji FC ya Songea Katika mechi itakayopigwa kesho Jumamosi Na kuifanya AzamONE kuwa sehemu ya Burudani

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni