Alhamisi, 25 Agosti 2016

CRISTIANO RONALDO, MWANASOKA BORA WA ULAYA

Mshambuliaji nyota wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo ametangazwa kuwa mwanasoka bora Ulaya. Ronaldo ametangazwa kuwa mwanasoka bora wa Ulaya na kuwashinda wachezaji wengine wawili ambao wote wanatokea katika timu za jiji la Madrid nchini Hispania.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni