MAHUSIANO: Mahusiano sio kupendana tu, cha muhimu katika mahusiano ni Amani rohoni, Furaha na kuridhika.
- Wewe uko kwenye mahusiano kwa sababu gani, Je ni kwa sababu ya Utegemezi, ulipata mtu akakutamkia atakuoa ukaamua tu kuwa naye bila kumpenda au kwa sababu umezaa naye huna namna ya kumuacha?
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni