Ijumaa, 26 Agosti 2016

Nahonda wa timu ya Taifa ya Tanzania na mshambuliaji wa KRC Genk Mbwana Samatta ameifungia timu yake goli moja katika ushindi wa magoli mawili Kwa sifuri dhidi ya Lokomotiva Zagreb ya Croatia. Kwa matokeo hayo inaifanya KRC Genk kusonga mbele hatua ya makundi katika michuano ya Europa.. Kwa hali hii inaanza kuonesha milango kwa Wachezaji wa Tanzania inafunguka na kuna tetesi za mchezaji mwengine kutakiwa katika klabu ya Genk.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni