Alhamisi, 25 Agosti 2016

Kikosi cha Azam FC kiko vema kabisa kuelekea mchezo ujao wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) dhidi ya Majimaji, utakaofanyika Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam Jumamosi ijayo. Na hivi ndivyo kilivyojifua jana asubuhi…

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni