Ijumaa, 26 Agosti 2016

Wachezaji wa Manchester United wamemwambia Bastian Schweinsteiger aache mara moja kuangalia tenisi na badala yake afanye mazoezi wakati Mjerumani huyo alipoumia msimu uliopita. Gazeti la Sportsmail liligundua kundi la wachezaji wakongwe wa Old Trafford waliochoshwa na kuona picha za mwenzao akimwangalia mkewe, Ana Ivanovic wakati timu ikimaliza msimu katika nafasi ya tano huku Schweinsteiger ‘akila bata

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni