Klabu ya KRC Genk anayochezea Mtanzania Mbwana Ally Samatta imewekwa kundi F na Athletic Bilbao ya Uhispania katika hatua ya makundi ya Europa League.
- Timu nyingine zilizopangwa kwenye kundi F ni Rapid Vienna ya Austria na Unione Sportiva Sassuolo Calcio kwa ufupi Sassuolo ya Italia.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni