pata dondoo mbalimbali za michezo ya ndani na nje ya nchi.mompondazy itakujuza kila kitu.
Jumatano, 21 Desemba 2016
Manchester wanafurahishwa na kazi ya Jose Mourinho. Licha ya kuonekana mbio zake kuelekea ubingwa wa ligi kuwa ni ndoto ngumu sana lakini uongozi wa Manchester United bado wana imani kubwa na kocha wao na wanataka aendelee kuwa na kikosi hicho. Ikumbukwe kwamba Jose ametumia pesa nyingi sana kuleta wachezaji na bado anaendelea kuleta wachezaji kwa kiasi kikubwa sana. Sasa hivi Manchester wanafikilia swala la kumuongezea mkataba kocha wao huyo hadi mwaka 2025 ikija na ongezeko kubwa la mshahara. Kuongeza mkataba wake kwa muda mrefu haimaanishi kwamba ina hakikisha uwepo wake kwa muda mrefu ndani ya Manchester united. Managers wengi wamewai kusaini mikataba ya muda mrefu lakini inakatishwa kutokana na perfomance mbovu. Kitu hiki kimeshamkuta Jose Mourinho mwenyewe na Chelsea.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni