HII NDIYO FAIDA YA "MKATA UMEME" NG'OLO KANTE, HAPA AKIWA LEICESTER, HUKU AKIWA CHELSEA KANTE AKIWA NA CHELSEA - MSIMU WA 2016/17
Mechi - 17
Kushinda - 14
Kupoteza - 2
Mabao- 1
Kuokoa - 58%
Msaada wa ushindi - 94
Faulo - 23
KANTE AKIWA NA LEICESTER - MSIMU WA 2015/16
Mechi - 37
Kushinda - 23
Kupoteza - 3
Mabao- 1
Kuokoa - 71%
Msaada wa ushindi - 277
Faulo - 43
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni