pata dondoo mbalimbali za michezo ya ndani na nje ya nchi.mompondazy itakujuza kila kitu.
Jumatano, 21 Desemba 2016
James Rodriguez apata Visa ya Uingereza. Hatimaye tunakaribia kuwa na James Rodriguez kwenye ligi ya England kutokana na kila kinachoendelea sasa hivi. Jana nilikupa story ya James kuonekana kwenye ubalozi wa England akifuatilia mambo ya Visa. Habari mpya iliyotoka leo ni kwamba ameshapata Visa ya kwenda kwenda England. James alikua hana furaha ndani ya Real Madrid na ameweka wazi kuhusu hilo. Captain wa club hiyo Sergio Ramos alisema kwamba anadhani James asiongee na vyombo vya habari lakini James amekua akiongea na vyombo vya habari na kusema kwamba future yake haioni ndani ya Real Madrid. Timu mbili kubwa za England Manchester united na Chelsea zote mbili zinataka huduma yake na kutoka Real Madrid lazima atajiunga na club hizi kubwa mbili. James bado ni mdogo na uwezo bado anao. Mapema mwezi wa kwanza tunaweza kuona uhamisho wake ukimakilika na kujinga na moja kati ya hizi club mbili.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni