Jumanne, 20 Desemba 2016

NEVILLE NAYE ATANGAZA KIKOSI CHAKE CHA MSIMU, AWATOSA ALEXIS, OZIL WA ARSENAL Nahodha wa zamani wa Manchester United, Garry Neville ambaye ni mchambuzi wa soka nchini humo ametaja kikosi chake ambacho anaamini ni bora katika Ligi Kuu England katika msimu huu, hadi sasa. Katika kikosi hicho Neville aliyewahi kukipiga timu ya taifa ya England, naye amewatema Mesut Ozil na Alexis Sanchez wa Arsenal. KIKOSI: 1. Courtois 2. Azpilicueta 3. Rose 4. David Luiz 5. Van Dijk, 6. Kante 7. Lallana 8. Fernandinho 9. Ibrahimovic 10. Diego Costa 11. Hazard

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni