RASMI CARLOS TEVEZ ATUA KLABU YAKE YA CHINI, NDIYE ANAYELIPWA ZAIDI Mshambuliaji Carlos Tevez sasa rasmi ni mchezaji wa Shanghai Shenhua ya China.
Tevez atakuwa akilipwa pauni 615,000 kwa wiki na sasa ndiye mchezaji anayelipwa zaidi kuliko wote.
Siku kadhaa zilizopita, Tevez aliyewahi kukipiga Manchester United aliaga kwenye klabu yake ya Boca Junior.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni