Jumanne, 27 Desemba 2016

MWINGEREZA CLATTENBURG ATANGAZWA KUWA MWAMUZI BORA DUNIANI Mark Clattenburg ametangazwa kuwa mwamuzi bora zaidi duniani baada ya kushinda tuzo maarufu kwa jina la Globe Soccer Awards. Mwaka 2016 umekuwa ni wenye mafanikio kwa mwamuzi huyo Mwingereza. Ndiye alicheza fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya iliyohusisha timu zote za Hispania zinazotoka kwenye mji mmoja za Real Madrid dhidi ya Atletico Madrid. Pia alichezesha fainali ya Kombe la FA wakati zilipokutana Crystal Palace dhidi ya Manchester United iliyobeba ubingwa

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni