Jumamosi, 24 Desemba 2016

Dk 8 Goaaaal Yahaya anaipatia bao la kwanza Azam FC. Majimaji 0-1 Azam FC Dk 25 Bado timu zote zinshambuliana kwa zamu na zinalazimika kutumia mipira mirefu kutokana na sehemu ya kuchezea uwanjani kutokuwa vizuri. Majimaji 0-1 Azam FC

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni