pata dondoo mbalimbali za michezo ya ndani na nje ya nchi.mompondazy itakujuza kila kitu.
Jumanne, 20 Desemba 2016
Fellaini anakula good time ndani ya Milan. Marouane Fellaini anategemewa kujiungana AC Milan wakati wa dirisha dogo mwezi January. Midfielder huyu ameonekana kwenye jiji la Milan siku ya Jumatatu akiwa na pacha wake Mansour. AC Milan na Inter Milan ni club mbili ambazo zinaweza kutimiza mahitaji ya mchezaji huyo. Fellaini ameonakana kwenye jiji la Milani akiwa mitaani ana enjoy madhari ya jiji hilo ambalo linaweza kuwa makazi yake ndani ya miaka ijayo. Fellaini inaeleweka kwamba ameshafanya maongezi ya kujiunga na club ya Serie A, moja ya mahitaji ya mchezaji huyu ni mshahara wa £120,000 . Fellaini sio mchezaji pekee ambae anaweza kusepa Manchester United mwezi January, Morgan Schneiderlin na Depay wanatarajiwa kwenda Everton kwa mkopo. Pia Vice Chairman wa Manchester United Ed Woodward anatarajiwa kufungua mazungumzo na club ya Benfica na wakala Jorge Mendes juu ya dili la Lindelof.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni