Alhamisi, 22 Desemba 2016

BALOTELLI ALIMWA KADI NYEKUNDU DAKIKA YA MWISHO Mshambuliaji wa Nice, Mario Balotelli (kushoto) akimsikiliza refa (kulia). Balotelli alitolewa kwa kadi nyekundu ya moja kwa moja dakika ya mwisho katika mchezo wa Ligue 1 dhidi ya wenyeji, Bordeaux baada ya kumchezea vibaya beki Igor Lewczuk usiku wa jana timu hizo zikitoka sare ya 0-0

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni