pata dondoo mbalimbali za michezo ya ndani na nje ya nchi.mompondazy itakujuza kila kitu.
Jumamosi, 24 Desemba 2016
ALLARDYCE ATHIBITISHWA KOCHA MPYA CRYSTAL PALACE Kocha wa zamani wa England, Sam Allardyce akiwa ameshika jezi ya Crystal Palace baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili na nusu kuchukua nafasi ya Alan Pardew aliyefukuzwa jana
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni