Jumanne, 20 Desemba 2016

CARRAGHER ATAJA KIKOSI CHAKE BORA EPL, AWATUPA NJE ZLATAN, OZIL Beki wa zamani wa Liverpool na England na mchambuzi wa soka nchini humo Jamie Carragher ametaja kikosi chake anachoamini ni cha msimu kwa Ligi Kuu England huku akiwatupa nje Mesut Ozil wa Arsenal na Zlatan Ibrahimovic wa Manchester United pia Sadio Mane wa Liverpool. KIKOSI 1.Pickford 2.Azpilicueta 3. Bertrand 4. David Luiz 5. Van Dijk 6. Ng'olo Kante 7.De Bruyne 8. Adam Lallana 9. Eden Hazard 10. Diego Costa 11. Alexis Sanchez

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni