Alhamisi, 22 Desemba 2016

HUGO LLORIS AONGEZA MKATABA WA MIAKA MITANO SPURS, NI HADI 2022 Nahodha wa Tottenham, kips Hugo Lloris ameongeza mkataba na klabu hiyo hadi mwaka 2022. Kipa huyo namba moja wa Ufaransa alijiunga na timu hiyo mwaka 2012. Mkataba huo mpya wa miaka mitano, unakuwa moja ya mikataba mirefu kupewa wachezaji ndani ya klabu hiyo

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni