Alhamisi, 22 Desemba 2016

TEVEZ AMUOA VANESA MPENZI WAKE WA TANGU UTOTONI Mshambuliaji wa zamani wa Manchester zote, United na City, Carlos Tevez akiwa na mpenzi wake wa tangu utotoni, Vanesa Mansilla baada ya kufunga ndoa jana mjini San Isidro, Buenos Aires nchini Argentina. Tevez alianza urafiki na Vanesa akiwa ana umri wa miaka

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni