Jumamosi, 24 Desemba 2016

MOMPONDAZY NA MARIO BALOTELLI TUWATAKIA HERI YA KRISMASI HII NI PICHA YA SIKU Taswira zikimuonyesha Mario Balotelli akiwa amevaa kofia ya Father Krismasi mara tu baada ya kuisidia Nice kuitwanga Dijon na kuendelea kujishindilia kileleni mwa Ligi Kuu ya Ufaransa. Unaweza kujiuliza, he! Kumbe hata Balotelli anaijua Krismasi? Maana ni mtukutu, unaweza kudhani hapati huo muda. Lakini taswira hizi tatu zinaweza kukuthibitishia hilo. Hii ni picha ya siku unayoweza kuanza nayo Krismasi

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni