Jumapili, 25 Desemba 2016

KABLA YA TEVEZ KWENDA CHINA, NEYMAR NDIYE ANAYENG'ARA KWA FUBA KUBWA LA MSHAHARA Mshambuliaji Neymar wa FC Barcelona ndiye anaongoza kwa mshahara mkubwa duniani. Carloz Tevez anatarajiwa kuvunja umwamba wa Neymar pale atakapohamia China akitokea Boca Junior ya kwao Argentina. Wafuatao ndiyo wanaolipwa zaidi kwa mwaka kutumia euro. 1. Neymar (Barcelona). €30m 2. Oscar (Shanghai). €24m 3. Lionel Messi (Barcelona). €22m 4. Cristiano Ronaldo (Real Madrid). €21m 5. Hulk (Shanghai). €20m 6. Paul Pogba (Manchester United). €17.5m 7. Wayne Rooney (Manchester United). €17.1m 8. Graziano Pelle (Shandong Luneng). €16m 9. Zlatan Ibrahimovic (Manchester United). €15.5m 10. Ezequiel Lavezzi (Hebei China Fortune). €15m per year

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni