Ijumaa, 23 Desemba 2016

Klabu za Chelsea na Shanghai SIPG tayari zimekubaliana juu ya uhamisho wa kudumu wa kiungo Oscar Emboaba. Mbrazil,25,atajiunga na timu hiyo ya ligi kuu ya China, katika dirisha dogo la usajili mwezi januari,2017. Oscar tangu ajiunge na Chelsea mwaka 2012, amecheza mechi 203 na kufunga magoli 38 na kuchukua vikombe vya EPL,Kombe la ligi, na Europa Ligi

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni