pata dondoo mbalimbali za michezo ya ndani na nje ya nchi.mompondazy itakujuza kila kitu.
Jumamosi, 1 Oktoba 2016
PICHA 9;...ZA MZIKI WA YANGA VS SIMBA ULIVYOKUWA NA KWISHA KWA SARE YA BAO 1-1
Yanga dhidi ya Simba, leo ilikuwa bonge la mechi na limeisha kwa sare ya bao 1-1, Yanga wakianza kufunga kupitia Amissi Tambwe kabla ya Simba kusawazisha kupitia Shiza Kichuya. Cheki picha za action mambo yalivyokuwa.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni