Ijumaa, 28 Oktoba 2016

EXCLUSIVE: YANGA YAMUANGUKIA PLUIJM, YAKATAA ASIJIUZULU, YAMRUDISHA, MWIGULU NCHEMBA AHUSIKA

Uongozi wa klabu ya Yanga, umelezimika kumuangukia Kocha Hans van der Pluijm. Pluijm aliandika barua kujizulu baada ya Yanga kuamua kufanya mazungumzo na Kocha George Lwandamina. Lwandamina alikuja nchini kuzungumza na uongozi wa Yanga, jambo ambalo mwisho linaonekana kukwama. Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba ndiye alifanya kazi ya ziada kufanya mazungumzo na Pluijm ambaye inaelezwa amekubali kurejea.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni