Mkataba mpya wa Gareth Bale na Real Madrid.
Kwa mwaka atakuwa akilipwa shilingi billioni 95,148,000,000
Kwa mwezi billioni 7,929,000,000
Kwa wiki atalipwa 1,982,250,000
Kwa siku ataingiza 283,176,306
Kwa saa 1 ataingiza 11,798,352
Kwa dakika 1 ataingiza 195,582
Mkataba huu unamfanya Bale kuwa mwanasoka anayelipwa fedha nyingi zaidi.
*Malipo haya kabla ya kukatwa kodi*
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni