Jumamosi, 29 Oktoba 2016

#Ravierderby aka The Mother of All Derbies - huu ni mchezo unaowakutanisha watani wa jadi wa eneo la viwanda la Ujerumani linaloitwa Ruhr. Borrusia Dortmund vs Schalke 04. Upinzani rasmi wa timu hizi ulianza miaka 91 iliyopita katika mchezo wa kwanza walipokutana na FC Schalke 04 wakaitandika Borussia Dortmund 4-2 mnamo 3 May 1925). Miaka takribani 92 baadae leo hii timu hizi zinakutana tena katika mchezo wa Bundesliga inayorushwa live only on StarTimes Tanzania Mahasimu hawa wameshakutana mara 148, FC Schalke 04 ameshinda mechi 58 Sare: 39 Borussia Dortmund: 51 Ushindi mkubwa zaidi katika mechi ya watani hawa ilikuwa October 20, 1940, wakati Schalke alipomnyoosha BVB 10-0. #BundesligaOnlyOnStartimes

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni