pata dondoo mbalimbali za michezo ya ndani na nje ya nchi.mompondazy itakujuza kila kitu.
Jumamosi, 29 Oktoba 2016
#FCBVsGranada - Rekodi ya Granada katika ligi vs Barcelona ndani ya Dimba la Nou Camp inaonyesha:
Wameshacheza mechi 22 katika uwanja huo, wamepoteza mechi zote 22, leo usiku saa 4 wana kipiga tena na Barca, watabadili matokeo au La Purga na wenzake wataendelea kuwaadhibu.
Mtanange utakuwa live on Azam TV
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni