Jumamosi, 29 Oktoba 2016

LIVE KUTOKA KAMBARAGE SHINYANGA: MWADUI FC 0 VS 0 SIMBA

Dk 14, Rashid Ismail anapiga shuti karibu kabisa na langu la Simba, unapita juu Dk 9 Mwadui wanapoteza nafasi nyingine ya wazi hapa baada ya kupiga shuti kuuubwa Dk 9, MWadui wanagongeana vizuri wanafunga hapa lakini Hamisi alikuwa ameishaotea Dk 7, Mavugo tena anaichezea nafasi nyingine na kupiga juu akiwa na nafasi nzuri kama angetulia Dk 6, Mavugo anawachambua mabeki wa Mwadui na kuachia mkwaju mkali, unatoka juu kidogo Dk 4, bado hakuna kitu chochote ambacho kinaonekana ni mabadiliko kwa kuwa mpira zaidi unachezwa katikati ya uwanja. Dk 1 Simba wameanza kwa kasi lakini shuti la Mavugo linatoka nje. 1. Vicent Angban 2. Janvier Bukungu 3. Mohamed Zimbwe 4. Method Mwanjale 5. Juuko Murshid 6. Jonas Mkude 7. Mzamiru Yassin 8. Mwinyi Kazimoto 9. Laudit Mavugo 10. Shiza Kichuya 11. Mohamed Ibrahim Sub Manyika Hamadi Novart Ndemla Ndusha Ajib Ame

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni