Mchambuzi wa soka BBC na mshambuliaji wa zamani wa England & Newcastle mwenye rekodi ya kuwa mfungaji bora wa EPL wa wakati wote - Alan Shearer amesema kwamba Sergio Kun Aguero ndio mchezaji pekee wa kiwango cha dunia wa EPL ambaye anaweza kuingia kwenye first eleven ya timu yoyote duniani.
Nini maoni yako kuhusiana na hili, unadhani Aguero pekee ndio mwenye sifa hizo??? Karibu tujadili pamoja.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni