Alhamisi, 27 Oktoba 2016

WEST HAM UNITED YAIPA KICHAPO CHELSEA KOMBE LA EFL

Chelsea wamekubali kipigo cha mabao 2-1 kutoka kwa West Ham United katika mechi ya Kombe la EFL. Chelsea wakiwa ugenini walianza kukubali kufungwa katika dakika ya 11 kupitia Cheykhou Koutate na Edimilson Fernandes akashindilia msumari wa pili katika dakika ya 48. Garry Cahill, mlinzi mwenye mwili mkubwa ndiye aliifungia Chelsea bao lake la kufutia machozi katika dakika ya 90.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni