Jumatano, 26 Oktoba 2016

Siku kama ya leo 1996: Wiki moja baada ya kupokea kipigo cha 5-0 vs Newcastle pale St James Park, Man United wakapoteza tena kwa kipigo kizito cha 6-3 vs Southampton. Leo hii siku 4 baada ya kupokea kipigo kizito cha 4-0 vs Chelsea, Man United wanakutana na mahasimu wao Man City katika mchezo wa EFL Cup? Je historia ya vipigo vizito itarejea??? #EFLCup

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni