Ijumaa, 28 Oktoba 2016

Anthony Davis (95) na Michael Jordan (91) ndio wachezaji wawili pekee katika miaka 50 iliyopita kufunga pointi 90 kwenye mechi zao 2 za kwanza za msimu. #ThisIsWhyWePlay

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni