Jumatano, 26 Oktoba 2016

Baada ya ushindi wa jana vs Preston, sasa Newcastle wameshinda mechi 6 mfululizo - mara ya mwisho kushinda mechi zaidi 5 au zaidi mfululizo ilikuwa April 2010, wakiwa katika Championship.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni