Jumatatu, 24 Oktoba 2016

MAKUNDI MAWILI YA TUZO YA BALLON D'OR YAMETANGAZWA, BALE, RONALDO WAYAONGOZA

Wanatarajia kutangazwa wachezaji 30 katika tuzo ya mwanasoka bora duniani ambayo imerejeswa na itaendelea kusimamiwa na jarida la France Footbal. Kabla ya kwisha mwaka huu, mshindi atakuwa amepatikana na imekuwa ikiendelea kutangazwa kwa makundi na baadaye utafanyika mchujo. Makundi mawili ni kama ifuatavyo.. Kundi la kwanza la Ballon d’Or ni.. Sergio Aguero (Manchester City), Pierre-Emerick Aubameyang (Borussia Dortmund), Gareth Bale (Real Madrid), Gianluigi Buffon (Juventus), Cristiano Ronaldo (Real Madrid) Kundi la pili la Ballon d’Or ni.. Kevin De Bruyne (Manchester City) Paulo Dybala (Juventus) Diego Godin (Atlético Madrid) Antoine Griezmann (Atlético Madrid) Gonzalo Higuain (Napoli/Juventus)

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni